Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kitanda cha mtoto kilicho tumika tayari kinapatikana tegeta masaiti kwa bei ya laki moja na tisini (190,000) kina chaga zake mbili hio bei ni bila godoro.kina hali nzuri tu. Karibu kwa namba 0756...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni wazoefu wa upigaji rangi mbalimbali za nyumba zenye kupendeza kwa mawasiliano zaidi nichech tuku rembee nyumba yako kwa gharama nafuu kulingana na wakati 0692940943
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Natafuta kampuni au mtu mwenye facilities za kuchimba (kudrill) kisima cha maji maeneo ya kibaha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kujua bei ya hii simu,INFINIX NOTE 4 PRO
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunafundisha Kiingereza cha kuongea na kuandika kwa gharama nafuu na uhakika. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapo kama 40 hivi, bei yake majike elfu 25 madume elfu 35 Nipo Chanika.
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kwa yeyote yule anayehitaji eneo Dodoma mjini mwenye sifa azitakazo yeye. Kwa mfano; 1.Umbali toka katikati ya mji 2.Upatikanaji wa maji, umeme 3.Eneo lenye fursa nzuri kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wadau Ninataraj kuanza kununua Mihogo toka kwa wakulima na kwenda kuuza kwenye masoko dar ........naomben ushaur kwa wajuz ..masoko yanaptkana VP na inauzwaje kwa sokon bugurun ...ukiwauzia...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Natafuta mashine ya kubangua karanga. Ningefurahi pia kama ningepata ushauri wa aina ya mashine inayofaa zaidi. Asanteni
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Umoja Switch inianzishwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ili kuwezesha benki ndogo na za kati kuweza kupata huduma za ATM. Kupitia Umoja Switch benki zaidi ya 27 zinawezesha wateja wao kupata huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tag unachotaka upewe price. Order kupitia 0769509430 Whatsup Karibuni.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu habari za wakati huu? Tumelima matango hapa bunju dar es laam sasa yamekomaa na ssoko hatuna hivyo tunatafuta madalali wanaohusika tuwauzie. Bei yetu sio kubwa tunauza mzao yaishe na si...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini waungwana, natafuta nyumba maeneo ya mbezi Beach, two bedrooms self-contained, isiyozidi laki nne. Ni PM kama una taarifa nazo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye camera canon 550d isiyona tatizo lolote njoo tuyajengee
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Wadau natafuta brevis au gx110 iliyo katika hali nzuri bajeti 7m, mileage isizidi 100,000 na CC isizidi 2500
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nahitaji creti za bia chupa kubwa kampuni ya TBL creti 50 kama unazo piga namba 0692 950167 uniuzie kama bei yako itakuwa ndani ya uwezo wangu au makubaliano
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana-JF, ninaomba kujulishwa sehemu naweza nunua material za kuprint tshirt. Materials kama vile gauze, rangi, emulsion, n.k na bei zake. Kwa upande wa mkoa wa Dar. Kwa yeyote anayefahamu...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari, Mimi ninashida ya mayai ya kizungu kwa hapa Dar es salaam ,shida yangu Ni trei 10 kwa siku ,Kama wewe Ni mfugaji na upo hapa dar itakuwa vizuri tufanye biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapi ntapata vitunguu swaumu, tangawizi, karafuu na pilipili kwa wingi kama tani 1000. Msaada wakuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom