Kiwanja chenye msingi bei 5.9m

golden pride

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
847
433
Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu ya kujenga taifa.

Kijana wenu bado vyuma vimekaza, na januari ndio hiyo. Ada zinazidi kugomba. Nimeona nipunguze bei kidogo ili niweze kujikwamua. Bei imepungua kutoka 6.5m mpaka 5.9m.

Sifa za kiwanja
-20*20
-Chanika mwisho zogoali
-Msingi nondo 12mm nne kila ukuta
-Zege ya kutosha
-Umeme upo jirani
-Ramani ya kisasa
-Vyumba vitatu, master moja, public toilet, sebule, dinning, jiko na store
-Majirani wapo
-Tofali, kokoto zilizobaki

Mazungumzo yanakaribishwa, simu 0716411720


img_20150624_113219-1-jpg.644576



img_20150624_113204-1-jpg.644578



img_20150624_114438-1-jpg.644580


img_20150624_113153-3-1-jpg.644582
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom