Ushauri wa bure kwa watumiaji wa kiyoyozi

Ushauri wa bure kwa watumiaji wa kiyoyozi

twaleeb

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
231
Reaction score
83
Habari wana jukwaa leo nimeona niongelee hili baada ya kuona wengi hatulizingatii

Ukiwa unamiliki kiyoyozi ili kidumu ni vzr ukatumia njia hizi
1) kila baada ya wiki tatu zitoe filter za indoor uzioshe na sabuni hii itasaidia kuifanya kiyoyozi chako kisichoke haraka

2) kila baada ya miezi miwili au mitatu muite fundi aje aifanyie service outdoor apime na gas hii itasaidia out door kutochoka

3) Nunua AVS ufunge usifunge kiyoyozi bila AVS hii itasaidia compressor na vifaa vyengine vya ndani kwa ajili AVS inasaidia umeme ukiwa mwingi inapunguza na inaingiza umeme unaohitajika na kwa bongo yetu hii AVS ni muhimu kwa ajili umeme hauna dhamana

kwa leo ntaishia hapo kwa mwenye swali maoni ushauri unakaribishwa

kwa mawasiliano zaidi napatikana kwenye namba 0622001223
 
Back
Top Bottom