Nauza samsung galaxy s5 ni mpya kabisa haijawahi kutumika

marcus dedsec

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
378
250
Specifications
️Ina fingerprint sensor
️single sim card
️32gb storage


Bei 400000/- tu
Napatikana DIT
Mawasiliano 0693010101 / 0738324237
Maelewano yapo pia

 

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,591
2,000
Specifications
️Ina fingerprint sensor
️single sim card
️32gb storage


Bei 400000/- tu
Napatikana DIT
Mawasiliano 0693010101 / 0738324237
Maelewano yapo pia


Mkuu galaxy s5 siku hizi ni 350k bei na hakuna mpya kuna refubrish sikuhizi tu maana 400k tunazungumzia note 4 ila biashara njema mkuu ila bei punguza punguza boss wangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom