Vitabu vya riwaya vya marehemu Ben Mtobwa...


nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,956
Likes
678
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,956 678 280
Kwa wale wanaohitaji riwaya za marehemu Ben R. Mtobwa, sasa vitabu vinapatikana.
Mpaka sasa kuna vitabu aina12. Aina 8 ni mtiririko au mfululizo wa visa vya Joram Kiango na aina nne ni riwaya zilizobeba riwaya za kawaida au za kijamii.
Orodha ya vitabu vilivyopo ni Najisikia kuua tena
Mikononi mwa nunda
Salamu toka kuzimu
Tutarudi na roho zetu?
Roho ya paka
Mikataba ya kishetani
Mtambo wa mauti
Malaika wa shetani
Hivyo vyote hapo juu ni upelelezi na vinapatikana kwa 10,000 kwa kila kimoja.

Orodha yenye riwaya za kijamii
Kiguu na njia 15,000
Pesa zako zinanuka 10,000
Zawadi ya ushindi 7000
Dar es salaam usiku 10,000

Tunapatikana Dar es salaam, kinondoni nyuma ya airtel, posta karibu na sanamu la askari, mbe
 

Forum statistics

Threads 1,238,317
Members 475,877
Posts 29,315,605