Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Saplaiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
283
Reaction score
289
Wana forum nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sitting room au chumba kimoja na sitting room, maeneo ya ubungo, kimara, sinza, mwenge, kawe, mikocheni, kijitonyama na tabata. Bajeti yangu si zaidi ya 200k, vyumba viwe ndani ya fence, bila kusahau maji na umeme
 
Kuna nyumba mabibo vyumba viwili vikubwa sebule na jiko kwa 150 choo bafu na maji nje kushare luku ya peke yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom