Habari zenu wadau wa JF sisi ni mafundi wa kutengeneza milango, madirisha nk ya aluminium kwa ustadi na bei nafuu tunaweza pia kusimamia kuondoa madirisha ya mbao na kuweka grill na kisha...
Hi wakuu,
Gari yenye taarifa zifuatazo unauzwa kwa Tsh 18.5mil
Toyota
Hilux
Double Cabin
yom 1996
cc 2779
Blue.
Iko kwenye hali nzuri sana.
kwa mawasiliano
Piga namba 0754 801 930.
Katika harakati za maisha unaweza kujikuta umepungukiwa na fedha huku shida muhimu ikiwa imekukaba...ukakosa rafiki, au ndugu wa karibu wa kukutatulia tatizo lako...
L-PESA...ni rafiki pekee...
Jamani wana jamvi naomba kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata pikipiki kwa bei isiyozidi laki nane ( 800,000) hapo dar. Sanlag cc125 hadi cc150, Cargo type.Hapo Dar
taarifa zenu...
Mobbi shop ni ecommerce website iliyoundwa kwa ajili ya kuunganisha wafanyabiashara (hasa wale wanaposti bidhaa zao via FB/ IG) na wateja wengi zaidi.
Lengo ni kusaidia nyinyi wafanyabiashara...
Hii nyumba ipo Mwenge inapakana na hospitali ya Maria Stopes karibu na kituo cha Afrika sana ipo ndani ya geti
Nyumba ina madirisha ya vioo tiles japo bado baadhi ya sehemu mtu ametoka sio muda...
Nitaondokea Ubungo kama upo tayari twende, muda wa kuondoka Dar saa 11:30 Asubuhi.
Keshokutwa Jumatano, kama unaenda nicheki inbox au nitext kwenye 0799455132
Taraji Oil - Pure Organic Cold Press Coconut Oil. Useful for cooking and External Use.
Ni mafuta halisi ya Nazi Zilizokoma Yanafaa Kwa Kupikia na Kupakaa
Contact call/sms/whatsapp...