Jamani wana jamvi naomba kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata pikipiki kwa bei isiyozidi laki nane ( 800,000) hapo dar. Sanlag cc125 hadi cc150, Cargo type.Hapo Dar
taarifa zenu zitanisaidia sana.
Hata Zanzibar siyo mbaya ilimradi nikijumlisha gharama zote za kuileta bei isiwe kubwa.
Taarifa zenu ni muhimu sana kwangu wakuu.
taarifa zenu zitanisaidia sana.
Hata Zanzibar siyo mbaya ilimradi nikijumlisha gharama zote za kuileta bei isiwe kubwa.
Taarifa zenu ni muhimu sana kwangu wakuu.