Je umepungukiwa na fedha? L-PESA ndio mkombozi wako

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,120
Katika harakati za maisha unaweza kujikuta umepungukiwa na fedha huku shida muhimu ikiwa imekukaba...ukakosa rafiki, au ndugu wa karibu wa kukutatulia tatizo lako...
L-PESA...ni rafiki pekee atakaye kutatulia tatizo lako...
Hivyo jibu sahihi la tatizo lako kuhusu kupungukiwa na fedha...ni L-pesa
L-PESA ni benk ya kimtandao inayoweza kukupa mkopo hapo hapo ulipo...
Ili uweze kunufaika na mkopo kutoka L-PESA unatakiwa ujiunge kwa kutembelea L-PESA.COM ukisha jiunga nenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa unaoishi. Kisha andikiwa barua ya usibitisho wa makazi...tafuta kitambirisho chako cha kura na leseni yako ya kuendeshea vyombo vya usafiri ...chukua simu yako piga picha barua ya serikali za mitaa...piga picha leseni yako kisha ingia L-pesa.com Kwenye akaunti yako ingiza hizo picha...za nyaraka ya leseni pamoja na barua ya uthibitisho wa makazi kutoka ofisi ya serikali ya mtaa unao ishi....kila hatua unayofanya hapo ina point/alama hizo alama ndizo zinatakazo kusaidia kupata mkopo mkubwa zaidi hivyo hakikisha majina yaliyopo kwenye vitambulisho vyako hayatofautiani na yale yatakayo andikwa kwenye barua ya uthibitisho wa makazi.
Subiri ufanyiwe uhakiki...usajili wako uki kamilika hapo hapo utaanza kufaidi mkopo kutoka L-pesa....
Nimeambatanisha screenshot ya jinsi ninavyonufaika na mkopo wa l-pesa....hapo nasubiri mkopo wangu wa dola 70usd uthibitishwe nitumiwe sasa ivi...
Zipo faida nyingine nyingi unazoweza kuzipata ukiwa mtumiaji wa l-pesa
>>>unaweza kupata shilingi 1000 kwa kila mtu utakaye muunganisha
>>>unaweza kuweka akiba utakayo pata faida kuanzia 8%
>>>unaweza kujishindia zaidi ya milioni tano 5,000,000 kwenye droo mbali mbali zilizopo L-pesa.
Zipo faida nyingi hizo ni chache...hujachelewa jiunge kwa kubonyeza L-pesa.com ... L-pesa.com.....L-pesa.com
 
Attachments

  • certificate_50785.jpeg
    certificate_50785.jpeg
    55.9 KB · Views: 446
  • Screenshot_20170505-174358.png
    Screenshot_20170505-174358.png
    28.9 KB · Views: 460
  • Screenshot_20170505-174412.png
    Screenshot_20170505-174412.png
    52.2 KB · Views: 430
[HASHTAG]#daby[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mis chagga[/HASHTAG] [HASHTAG]#natafuta[/HASHTAG] [HASHTAG]#jack pemba[/HASHTAG] [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG] [HASHTAG]#lege[/HASHTAG] [HASHTAG]#nifah[/HASHTAG] Njoeni muone
 
Sasa kama sins lesen inakiwaje naweza kutumia kitambulisho cha kula pekee
Ndio unaweza kutumia kitambulisho cha kura...ila hakikisha unambatanisha na barua ya uthibitisho wa makazi...kutoka serikali za mitaa...
 
aaaaaaah sawa nimeelewa.na unamsajilije mtu
Ukisha jiunga kwenye kuna maneno yataongezeka hivyo utabonyeza REFERRAL...baada ya hapo reffer new custumer...kisha unaandika namba ya mtu unayetaka kumuunganisha kisha unaisubmit...hapo utakuwa umemjurisha rafiki yako juu ya uwepo wa l-pesa rafiki yako akijiunga akaanza kutumia l-pesa utapokea shilingi 1000 ukiwaongeza marafiki 30 na wote wakaanza kutumia huduma hiyo utapata shilingi 30,000/=
 
Attachments

  • IMG_20170505_183753_134.jpg
    IMG_20170505_183753_134.jpg
    43 KB · Views: 273
  • IMG_20170505_183937_728.jpg
    IMG_20170505_183937_728.jpg
    64.6 KB · Views: 345
  • IMG_20170505_184033_046.jpg
    IMG_20170505_184033_046.jpg
    49.7 KB · Views: 246
Katika harakati za maisha unaweza kujikuta umepungukiwa na fedha huku shida muhimu ikiwa imekukaba...ukakosa rafiki, au ndugu wa karibu wa kukutatulia tatizo lako...
L-PESA...ni rafiki pekee atakaye kutatulia tatizo lako...
Hivyo jibu sahihi la tatizo lako kuhusu kupungukiwa na fedha...ni L-pesa
L-PESA ni benk ya kimtandao inayoweza kukupa mkopo hapo hapo ulipo...
Ili uweze kunufaika na mkopo kutoka L-PESA unatakiwa ujiunge kwa kutembelea L-PESA.COM ukisha jiunga nenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa unaoishi. Kisha andikiwa barua ya usibitisho wa makazi...tafuta kitambirisho chako cha kura na leseni yako ya kuendeshea vyombo vya usafiri ...chukua simu yako piga picha barua ya serikali za mitaa...piga picha leseni yako kisha ingia L-pesa.com Kwenye akaunti yako ingiza hizo picha...za nyaraka ya leseni pamoja na barua ya uthibitisho wa makazi kutoka ofisi ya serikali ya mtaa unao ishi....kila hatua unayofanya hapo ina point/alama hizo alama ndizo zinatakazo kusaidia kupata mkopo mkubwa zaidi hivyo hakikisha majina yaliyopo kwenye vitambulisho vyako hayatofautiani na yale yatakayo andikwa kwenye barua ya uthibitisho wa makazi.
Subiri ufanyiwe uhakiki...usajili wako uki kamilika hapo hapo utaanza kufaidi mkopo kutoka L-pesa....
Nimeambatanisha screenshot ya jinsi ninavyonufaika na mkopo wa l-pesa....hapo nasubiri mkopo wangu wa dola 70usd uthibitishwe nitumiwe sasa ivi...
Zipo faida nyingine nyingi unazoweza kuzipata ukiwa mtumiaji wa l-pesa
>>>unaweza kupata shilingi 1000 kwa kila mtu utakaye muunganisha
>>>unaweza kuweka akiba utakayo pata faida kuanzia 8%
>>>unaweza kujishindia zaidi ya milioni tano 5,000,000 kwenye droo mbali mbali zilizopo L-pesa.
Zipo faida nyingi hizo ni chache...hujachelewa jiunge kwa kubonyeza L-pesa.com ... L-pesa.com.....L-pesa.com
Wanaanza kwa kukopesha shilingi ngap na riba yao ipoje?
 
Yale mambo ya kuambiwa uanze kuweka pesa kwanza ndio ukope yapo au hayapo?mana hamkawii kuweka vigezo ili mfanye dhulma
Hapana huku hakuna kuanza kuweka usajili ni bure na ukisha kamilisha usajili hapo hapo unaanza kukopa...ila utaanza na dola 1...ili uizoee system ya ulipaji
 
Back
Top Bottom