Toyota double cabin pick up inauzwa

Toyota double cabin pick up inauzwa

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,796
IMG-20171117-WA0010.jpg
IMG-20171117-WA0012.jpg
IMG-20171117-WA0013.jpg
IMG-20171117-WA0014.jpg
Hi wakuu,
Gari yenye taarifa zifuatazo unauzwa kwa Tsh 18.5mil
Toyota
Hilux
Double Cabin
yom 1996
cc 2779
Blue.
Iko kwenye hali nzuri sana.
kwa mawasiliano
Piga namba 0754 801 930.
 
Imetembea km ngapi, imeshawahi kula mzinga, engine gani? Ipo nchi, mkoa gani,
Picha itapendeza zaidi.
 
Watu wa Dar tunanunua magari yenye namba D! Kama halina namba D, peleka kwenye 'jukwaa la mikoani'.
 
Imetembea km ngapi, imeshawahi kula mzinga, engine gani? Ipo nchi, mkoa gani,
Picha itapendeza zaidi.
Thanks. Nimesha-attach photoz. For more details wasiliana na mwenye namba niliyoambatanisha.
 
Back
Top Bottom