Ipo tabata bunyokwa sio mbali na barabara vyumba viwili kimoja master sebule na jiko na kipo choo cha nje ndani ya eneo utakuwa mwenyewe bei yake 120,000 ukihitaji kuiona tuwasiliane
Pata vifaranga bora kabisa aina ya Chotara vya kuanzia wiki 1 na kuendelea kwa ajili ya utagaji mzuri wa mayai ya kienyeji.
Pia tunapokea oda za mayai kwa ajili ya kutotolesha, mashine zetu zina...
Acacia mangium (mkesia/mzanzibari) ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 7 hadi 10 baada ya kupanda.
Miche hii inapatikana kwenye vitalu vyetu vilivyopo kilombero morogoro kwa gharama...
Nyumba ina vyumba 4 vyote self contain, ina sitting room mbili juu na chini kubwa iko juu, ina jiko sehemu ya kulia chakula, store room bila kusahau car parking yenye uwezo wa kuingia na gari mtu...
Ninauza compressor ya upepo size ya kati. Compressor bado mpya haijatumika na ina vifaa vyake vyote. Niliinunua 650,000 dukani na ninaiuza 400,000 tu. Sababu ni change of business plan. Serious...
Habari. Tunauza dagaa kutoka Mwanza, hawana mchanga kabisa na wamekaangwa wanapatikana wakiwa tayari PACKED kwa bei ya jumla na rejareja. Jumla tunaanzia Package TANO. Contact Us at _0656781601_...
Mabati yaliyotumika design ya zamani na ya mwanzo ya alaf aluminium yenye mgongo wa L type yanauzwa pamoja na mbao zilizotumika. Bidhaa zinapatikana magomeni mapipa. Njoo dm tuyajenge
Ndugu wanajamvi,
Ninauza nyumba vyumba vinne, pamoja na shule ya chekechea kwa pamoja.
viko kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 4500sqm.Kiwanja kipo Pugu Kigogo Fresh.
kama utahitaji...
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana.
> Gari ni ya mwaka 2008
> Imetembea (kilometa) 42000km
> Ukubwa wa injini ni Cc 1500
> Ni Automatic,
> Rangi nyeupe
Maelezo...
Nyumba inauzwa 25m
Vyumba sita,nyumba ya kawaida tu
Jiko njee choo nje.
Unaweza kufanya adjustment kuweka masterbedroom ya kishkaji
Umeme na maji yapo.
Karibu na huduma zote muhim,shule nk.Mjini...
Resonate Consulting Group is pleased to announce the first intake of participants for CISA training for 2018. This practical hands-on CISA training will enable participants to acquire marketable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.