Nimefungua kampuni ya Usafi, naombeni ushirikiano wenu ndugu zangu

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,655
Habari ndugu zangu wa JF poleni kwa majukum ya kazi ...mimi ni binti ninaitwa NEEMA ambaye baada ya kuhangaika kupata ajira vikwazo vikawa vingi nimeamua nifungue kampuni yangu ya USAFI kwa ujumla.. majumbani ..maofisini..kwenye majengo makubwa...makanisani ...stores n.k

Nimeisajili kabisa BRELA na nina TIN no bado tu leseni ya biashara nimeambiwa mwezi wa nne nitapatiwa...hivyo basi naombeni sana sapot yenu ...kampuni inaitwa DUST ñ

email neemafelix.fl@gmail.com
 
Hongera sana kwa ubunifu.kwa hapa dar huwezi kukosa tender jaribu kutenbelea maofisi na taasisi mbali mbali.
 
Hapo safi, kwanza hongera kwakusajili brela, pili uwe na tin no, na leseni alafu uonane na tra. Alafu utakuwa huru kuitangaza co yako. Tembelea taasisi mbali mbali na NGO za kimataifa kuomba zabuni. Ktk shirika letu pia tulikuwa na mdada alichukua tenda za usafi ktk matawi yetu yote kwa Mwezi analipwa pesa za kutosha.
 
Tin no tayar ila lesen nimeambiwa mwez wa nne ndio zinatoka...asante sana kwa ushauri
 
NEEEEEEEEEEEEEEMAAAAAAAAAAAAAA,I LOVE YOU GHAFLA(jamani tusitafutane)
Mungu akujaalie kwenye biashara yako,aisee wewe kichwa,na unaona mbali saana.
Kwanza Pongezi za ziada saana kwa kutumia ID yenye jina lako kamili,sio kama sie wengine hapa tunajiita Zanzibar Spices wakati Jina halisi ni Shamukwale Mwigulu Lofombo

Ushauri wangu:-

A)-Ujasiri
Mengi makubwa ya awali umeishafanya,kwanza inabidi kazi hizi ujitoe faham,bila kujali nani anahudumia wapi,wewe vamia tu maofisini,unajua kuna baaadhi ya maofisi huwa kila muda wa mkataba na kampuni husika wana renew contract,na wengine wana terminate mkataba kutokana na mtoa huduma kuwa dhaifu au kufanyakazi kwa mazoea,sasa usiogope bado fursa unayo saana tu.

B)-Website
Hili la pili ni muhim saaaana Dada yangu,Tengeneza website yako,nakuhakikishia utapiga tenda za maana kweli.
Siku zote mjasiriamali wa kweli hutumia mwanya mdogo tu,na kupenya kwenye dili kubwa kuliko hata makampuni makubwa.Kuna watu wana vikampuni vya ajabu ila wanatenda za Kutisha,aisee JIJI la DAR watu kwama wachawi vile,hakuna anaemwambie mwenzie siri yake,hahaha watu wanapiga dili tu ila za halali,
Na ndio siri ya mafanikio,maisha ni siri nzito sana.Na ndio maana vijana wenye siri sana kwenye maisha yao hufanikiwa kuliko wale bwabwaja bwabwaja,maana ukiwa kidomo domo ujue fitna zinakufuata nyuma.Ni Sawa na makazini,ukijifanya kujua saana basi unahesabiwa siku za kuwa kazini,utafanyiwa fitna hadi ufukuzwe.Kuna watu wanamiliki magari ila hata kazini kwao hawaendi nayo kwa kuhofia fitna,so maisha ni siri nzito lazima uendane na hali ya maisha yalivyo na sio unavyotaka wewe iwe
Website itakuwa rahisi kuvutia wateja,na pia utakuwa na Offical email yako ambapo ni rahisi na ni attraction kwa waingia mikataba wengi,na baada ya muda unapost picha za Staffs wako wakiwa kazini zile zenye tenda kali,mtu anajua kweli upo vizuri.Maaana hata wewe,siku zote utapenda ku deal na mtu ambae unaona kwamba amefanyakazi na nani ili kujenga imani Zaidi.
Website,website,website,dada yangu lifanyie kazi hili wala usidharau,Unaweza kuanza na 5 pages tu zinakutosha kwa kuanzia,then mbele unajazia.Utakula tenda hadi za wale watu weupe,tunawaita wazungu.
We Google tu kwa kampuni za Usafi kama zinazidi kumi zenye website kwenye Nchi yenye watu karibia 50m.
Sasa tumia mwanya huo Dada yangu.

C) Stickers kwenye Magari
Jaribu kutengeneza Stickers,hata za bei rahisi,then ukaongea na makonda wa Daladala,na Bajaji kisha ukabandika kwenye vyombo vyao,ila hapa kuna issue ya malipo.Kuna jamaa alibandika akawa analipa Elfu 10 kwa mwezi.Aisee, ila haikuwa rasmi saana,hii ni hatua ya mbele,kwa wewe itakubana,ila weka kwenye mkoba wako wazo hili.
Mie Carry zangu zingekuwa na sehem ya kubandika hata Bure nakubandikia.Maana ni JF member mwenzangu na pia umejitambua,hukuamua kukalia kulalamika.

D) Number za sim
Hili si la umuhim sana ila lina umuhim,jaribu kuwa na mobile numbers kama mbili hivi ili kuwapa wateja wako wepesi.
Tigo ni muhim saana kuwa nayo pia,maana ndio habari ya mjini,samahanini jamani sio kwamba napiga debe,ila kila mwenye line mbili basi moja ni Tigo kwa jiji la Dar,the same huku Zanzibar Tigo ndio wanafuatia after Zantel.

E)Jingine ni nidhamu ya kazi na kujali muda.
Unajua mwanzo mgum,lazima wenye kutaka kazi na wewe watakulalia kwenye bei,ila kama ina maslahi hata kidogo wewe fanya usidharau,huo ndio mwanzo wako wa kwenda mbele,ni bora kuwa na kazi zenye malipo madogo nyingi kulio kuwa na kazi moja yenye malipo makubwa,maana hiyo moja ikikutoka ndio imetoka,lakini hizi ndogo nyingi ni rahisi kupata kubwa nyingi kupitia hizi ndogo nyingi(kiswahili hapa kinacheza kwa vina,nipe beat basi).
Sasa hilo nalo Zingatia Dada yangu.Na muda wa kazi uupange vizuri,Time keeping(aise kidhungu)

G)Changamoto
Biashara inaambatana na shetani kama ukimuweka Mungu mbali
Ukimuweka Mungu karibu,Mungu atakupa njia ya kupambanana changamoto,na pia atakupa uvumilivu.
Wapo wenzio walioanza Biashara na wakazifunga mapemaaa,na wapo walioanza na leo wanabishara kubwa za ziada.
Mie wakati naingia kwenye Biashara ya bodaboda nilikatishwa tamaa sana,na wakati naingia wapo walioshindwa na kuuza pikipiki zao nakusema biashara sio kabisa ni pasua kichwa na haina issue.Na wapo Ndugu Zangu kabisa wa Damu waliokuwa wanaifanya wakachemsha.Baadhi yao najua sababu ni nini
Ila mie nilipiga moyo konde,na kuona kwanini wengine wanafanya,na ukienda madukani wengi wananunua?
Nikamuomba mungu,basi namshkuru niliweza kupambana na changamoto zote za biashara ile.Na changamoto ndio kujua nature ya biashara yako.
Kuna mtu ananunua pikipiki wiki hii na wiki ijayo inaibiwa,weee acha dada yangu huku nako kazi ipo,ila cha kushangaza anaenda kununu tena nyingine na baada ya miaka miwili anakuwa na pikipiki karibia nne.
Sasa komaa dada yangu,hakuna maisha rahisi wala hakuna biashara rahisi.Heshim saana maamuzi yako,na pokea saana ushauri kutoka kwa wengine ule wenye tija.Usikubali kukatishwa tamaa na mtu yoyote hata kama ni Mzazi wako.

G)Maombi
Hakuna unaloweza kufanya Duniani bila maombi Dada yangu,huu ujana unatupoteza na kuona kwamba umefanikiwa kwa akili yako.
Watu wengi mungu anaowapa rizki hata kama pesa ya kula siku moja,basi wanaona ni akili yao na ujanja wao na wanamsahau Mungu,Na ndio maana wengine wakipata rizki wanaanzia Bar na wengine Madem.Ambapo hapo unamlipa Mungu kwa alichokujaalia na unakuwa rafiki wa shetani tu.Na kwa vile Mungu ni mwema na msamehevu,ukimuomba tena anakupa,aisee mungu wa ajabu,ila akiamua kuchukua kabisaa nakukuacha taabani basi hapo ndio utamjua Mungu nani,utakesha kwa Waganga mpaka basi.Mungu anatisha kwa Uwezo wake Uwe Mwema au Uwe wa Kukuonyesha Dunia.
Mungu huangalia pale anapokupa pesa cha kwanza unafanyia nini,then hayo mengine unaweza kusema nimepitiwa na shetani,ila sio mwanzo tu unamuasi mungu aisee.
Maana mie dili hata kama la buku kumi,basi cha mwanzo huwa namtumia Mama vocha ya buku au namuungia huku huku,maana Aisee mama yangu akiongea na sim anaona kama vile mpo pamoja,anaweza hata kugonga au kukupa tano,duhhh,tano anapiga kwenye kochi kwa kuvutia stim kama amekupatano,hahaha,,anaweza akaongea mpaka kesho akapigia simu hadi kuku,pesa ikiisha anakuambia ndio naona nimeongea.
Na anakuambia mie simu yangu ikiwa na pesa mkono unawasha kupigia ndugu zangu woote,hahahaha aisee bi Mkubwa wangu vituko kweli.Na siku akiongea basi muda woote unamuona anafurahi saaana,yaani anaona kama ndugu zake yupo nao.Hii ni Baraka kwangu.Naomba Mungu Umuweke Mama yangu na ukimchukua umchukue kwa Amani.

Nisiwachoshe,Dada yangu,ni hayo na Mungu atakusaidia na kukupa wepesi kwenye changamoto za Biashara hiyo.
Siku zote Mungu huwa karibu na wenye kujitambua na kujituma.Na ndio maana huwezi kulala na kuamka ukakuta Mungu amekuwekea pesa kwenye pochi.Ila atakupa njia na akili ya kupata hizo pesa kwa uwezo wake alionao,na kwa juhudi zako wewe mwenyewe.

-TUNAKUOMBA MUNGU UTUBARIKI SIE SOOOTE TUNAOPAMBANA NA MAISHA.NA UTUPE WEPESI,UTUEPUSHA NA SHETANI WAKATI UNAPOTUPA KIPATO,UTULINDE NA NGUVU ZA GIZA NA ZA KICHAWI

-MUNGU UTUJAALIE NGUVU NA UWEZO MKUBWA WAKUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA,UTUPE USTAHAMILIVU WA CHANGAMOTO ZA MAISHA,NA UTUEPUSHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA PALE TUNAPOKWAMA KIMAISHA,UTUPE UWEZO WA KUKUREJEA PALE TUNAPOPOTEA NA KUKWAMA KIMAISHA.ILI TUPATE MSAADA WAKO MUNGU USIESHINDWA NA KITU
-TUNAKUOMBA MUNGU UWAONGOZE WALE VIJANA WAJASIRIAMALI WALIOPOTEA, WANAOPATA NA KUKUASI NA KUKUSAHAU MUNGU BILA HATA KUTOA SADAKA.
-NA MUNGU UWAPE NJIA VIJANA AMBAO BADO HAWAJUI WAFANYE NINI,TUNAKUOMBA MUNGU UWAPE MUONGOZO MWEMA WA KUJITUMA NA WA KUBUNI BIASHARA HALALI.
MUNGU NAKUOMBA UTUSIMAMIE, BWANA MUNGU ASIFIWE....(Ameeeeeeeeeeeen)
 
Hongera Neema,

Na sisi kwa kuona moyo wako wa kujituma na uthubutu tunakupa offer ya kukutengenezea website ya kampuni yako kwa discount ya 20%

Please contact us..

JIMZ TECHNOLOGIES CO. LTD
email: info@jimzgroup.com
website: www.jimzgroup.com
Mob. +255717125200

"Together We Build Our Nation"
 
Haaaaaaa asante kwa ujumbe wako nimejikuta natabasi utadhan umenipa tenda ya kufanya usafi ikulu
 
Zanzibar Spices hongera sana kwa michango yako katika maada za biashara mkuu
Asante Mkuu,unajua lazima vijana tufarijiane na kupeana moyo,na michango lazima tupeane sie vijana,maana wazee wengi wamekuwa wanga licha ya kwamba baadhi ya vijana nao wameanza kuingia huko na kuwa wanga wa mafanikio ya Wenzao.
Ila Mungu ni Jibu na Mungu ni Njia
 
Roho yako ni nzuri
 
Back
Top Bottom