Shughuli za kikaz tu ndugu yanguTatizo lako ninii kwenda huko.....
kazi ya madalali hiyo utapata tu ulizia vijiwe vyakeShughuli za kikaz tu ndugu yangu
Ulitaka aendewapi mkuuTatizo lako ninii kwenda huko.....
Mambo gan tena mkuu nifahamishe coz mm sio mwenyej apo af ikiwezekana kama mambo mabaya nibadilishe na sehem ya kukaa niwe napanda gariIsijekuwa unafata yale mambo yetu maana yapo jirani sana na tmk hospital
Ndoo nawatafuta humu ndankazi ya madalali hiyo utapata tu ulizia vijiwe vyake
wamehama Mkuu na milango yote wameiziba...........Isijekuwa unafata yale mambo yetu maana yapo jirani sana na tmk hospital
Watu gan anawazungumzia mbona cjamuelewawamehama Mkuu na milango yote wameiziba...........
Ukitoka temeke Hospital kuelekea Mtaa wa Mkumba kuna KICHOCHORO fulani pale ndicho kinachozungumzia..................Watu gan anawazungumzia mbona cjamuelewa
Kwa WAHAYAWatu gan anawazungumzia mbona cjamuelewa