Nahitaji nguo za watoto za jumla.

Nahitaji nguo za watoto za jumla.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habari zenu wakuu.
Poleni kwa maandalizi ya sikuu ya christmass na mwaka mpya.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi nipo mbeya sasa nimevutiwa na biashara hii ya nguo za watoto pamoja na vitu vyote vya watoto.
Yaani vile vi baiskeli,mabegi,nguo na vifaa vingine vya kuchezea.
Kwa kifupi duka liwe la kisasa zaidi ili liweze kupambana na ushindani uliopo eneo husika.
Sasa naomba kujua wapi naweza pata mzigo wa jumla kwa bei nafuu na mimi nikapata faida ya kuridhisha.
Naomba msaada kwa hilo.
Kama kuna wa kunisaidia twende whatssap
0753255844
 
Back
Top Bottom