Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu. Nini: Eneo la kiwanja chenye ukubwa wa karibu ya nusu heka kinauzwa kwa milioni mbili. Wapi: Kigamboni. eneo la Kibada Muhimu: Njoo ulione na kuthibitisha umiliki kwani linauzwa...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Zawadi zenye thamani zaidi ya Milioni 500 kushindaniwa. Bajaj 52, Bodaboda 52 na Baiskeli 400! Mteja wa NMB kupata nasafi ya kushinda kwa kuweka kiasi cha Tsh50,000 katika akaunti yake. Timiza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Usikubali kuachwa nyuma kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, njoo upate ujuzi na maarifa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni photocopy mashine iliopo katika hali nzuri..na inafanya kazi vizuri kabisa na mimi ndo mmiliki. Ipo dar,bei ni mil 1,250,000 maongezi yapo.wahi chap tufanye biashara. 0719950447 kwa wanaohitaji tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunapokea vijana wakiume na wakike,chuo ni cha mission na ni bweni,fani:useremala,magari,umeme,ushonaji na ujenzi.0762182182
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Tunapokea vijana wakiume na wakike,chuo ni cha mission na ni bweni,fani:useremala,magari,umeme,ushonaji na ujenzi.0762182182
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunapokea vijana wakiume na wakike chuo ni cha mission na ni bweni fani:useremala,magari,umeme,ushonaji na ujenzi.0762182182
0 Reactions
2 Replies
876 Views
habari wakuu nina shamba linauzwa,lipo kongowe halmashauri ya mji wa kibaha.eneo linaitwa sarahga.ni umbali wa km 10 kutoka morogoro road...lipo jirani na mashamba ya mo dewji shamba lina ukubwa...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Kama kichwa cha kinavyojieleza. Inahitajika canter tani 3.5 chapu,ofa mil 10..nipo dar Nicheki 0719950447
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda wa kubadili calendar zetu umefika...Njoo upate kalenda yako yenye picha za wewe na familia yako, wewe na mpendwa wako...wewe na marafiki zako. Kwa bei nafuu Whatsapp: 0768829357 Email...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
0718888212au0625577106
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, nahitaji nembo/ badge ya BMW mwenye nayo inbox au whatsapp tafadhali namba 0655568588
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya boss lina miez mitatu toka linunuliwe,halijachubuka. Bei 350 tu nko ukonga mombasa dsm. Kwa mawasiliano Piga 0620436634. Risti zipo.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu?....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ninamahindi tani 20 ambazo ni magunia 200 ya 100kg @. Napatikana manundu korogwe kwa mwenye kuhitaji twaweza wasiliana pm au sim...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kichwa kinajieleza hapo juu sisi ni wajasiliamali tunauza na kufundisha kutengeneza mikoba mikufu helleni za aina mbalimbali kwa kutumia shanga pia kacha aina mbalimbali tunafundisha kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mimi ni mjasiriamali natafuta kikoba hapa Dar kwa ajili ya kukuza mtaji na kuhifadhi hela. Tatizo vikoba vya Dar natahadharishwa viko kitapeli baadhi. Je, ni kweli? Muda wangu ni wikiend...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye uwezo wa ku supply gunia 100 ya alizeti kila mwezi mjini arusha anijulishe.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF nauza laini tajwa hapo juu kwa bei ya sh.300,000 kwa zote mbili ukitaka moja bei ni 150,000 karibuni napatika iringa.
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Back
Top Bottom