Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wapendwa natafuta mbwa mdogo wa kisasa mbegu kibwa. Mawasiliano yangu ni 0655344999 kwa WhatsApp utanipata kwa namba +255787344999
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sofa ya kisasa kabisa inauzwa bei maelewano nko dsm. 0762934382
0 Reactions
14 Replies
1K Views
tutafutane mwenye Samsung galaxy Note yoyote chini ya 300 vyuma vina grease... +255623678056
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Ndugu zangu naomba kupata taarifa za tunda la nanasi ktk kijiji cha msata kwa bei ya jumla linatokaje uko
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei 300k Ram 2GB Storage 300GB Baterry life: 3 hours Call 0629992942
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Wadau kama mada inavosema soon mm nahamia Temeke, mwenye access na vyumba maeneo hayo anisaidie, Sifa za chumba: 1.Kiwe self 2.gypsum na tiles 3.Ikiwezakana isiwe changanyiken sana...
0 Reactions
3 Replies
786 Views
Deleted
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Habari zenu wanaJF? Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm Napoishi:Buza Kanisani Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/= Asanteni
0 Reactions
7 Replies
7K Views
kipo maeneo ya mbezi beach karibu na kilimani primary barabara ya Goba changamkia
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa mbezi msakuzi 30000 kwa sqm moja malipo kwa miezi 10.kwa maelezo zaidi njoo pm.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama unahitaji bank account uingereza (UK)... Itakayokuwezesha kutuma na kupokea hela kutoka nje nicheki Call/whatsapp 0624132227 Bei: Tsh. 50,000 Utapata MasterCard ya Atm. Having Problems to...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau kwa anayejua wapi naweza kuuza kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla hapa Dar ,nijuzen wadau
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nanunua noah old model kwa mil 6 Sharti niletewe Nairobi kenya
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Habari wanajamii nahitaji gari ndogo yenye engine chini au sawa na cc1500, vvti , Toyota zaidi, namba sio ishu ila iwe katika hali nzuri, passo hapana, premio, fielder, ist , raum, spacio sawa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa..!niende moja kwa moja kwenye mada, nina IPHONE 5c 32GB haina tatizo lolote... Nahitaji IPhone 6 and above NITAONGEZEA pesa kulingana na simu yako...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Mambo vp wadau wa hili jukwaa pendwa.. Kwa wale wote mlioko Masasi town, naomba kufahamishwa bei ya Tecno W4 new in shop. Thanks
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamni nataka kuuza kiwanja kisa madeni,nifanyaje? ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara. UKUBWA ; 1145sqm. BEI ; 68mill maelewano yapo DALALI ; mgao 5%...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni King'amuzi cha Azam tv kikiwa kimekamilika kila kitu. bei ni kama nilivytaja hapo juu, haipungui hata senti, nipo Goba.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Nauza hiyo simu ni yangu na nipo Mwanza kona ya Bwiru. Bei 350000/. Haina tatizo lolote . Nicheki 0767253265
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom