Natafuta Kuku

Natafuta Kuku

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,271
d111f7a6a6b8f8543ae58850bad27bf5.jpg

Natafuta kuku aina ya white Sussex , mwenye nayo naomba acomment
 
Waganga nao hawako nyuma ,hawaagizi samaki
 
Ukifanikiwa kumpata huyo vyuma lazima viachie tu..
Hakuna kuchezea masharti ya babu.
 
Hahahaaa,natafuta wa kufuga sio kwenye mambo ya kishirikina...Mungu kwangu anatosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom