Kiwanja Kinauzwa kipo Musoma

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,708
3,255
Kina urefu wa MITA55 NA UPANA WA MITA 28.80 kipo Musoma eneo la makutano kwa alietayari anicheki
kupitia 0764339400
bei 10m kwa maongezi zaidi unakaribishwa
 
Kina urefu wa MITA55 NA UPANA WA MITA 28.80 kipo Musoma eneo la makutano kwa alietayari anicheki
kupitia 0764339400
bei 10m kwa maongezi zaidi unakaribishwa

Musoma? Kudadadeki mimi sitaki tena na hamu imenitoka.....kushi kule mtu unatakiwa uwe na mabomu, mapanga, na bunduki ili ujidhatiti na raia wake.
 
Kina urefu wa MITA55 NA UPANA WA MITA 28.80 kipo Musoma eneo la makutano kwa alietayari anicheki
kupitia 0764339400
bei 10m kwa maongezi zaidi unakaribishwa
Acheni hayo mambo bwana, maisha sio magumu kihivyo. Mm nmenunua kauwanja Bunda kwa Bulaya hatua 35 kwa 38 (robo ekari)...nmepewa kwa kulipa laki tatu na ishirini cash 320,000TZS...., hill hilo eneo mahali pengine pazuri zaidi nmeambiwa nitoe laki 6 (600,000).

Milioni kumi hako ka plot kako utampata nani aisee?.... Labda kama pana nyumba kabisa.. Wewe uza 2mil maximum achana na tamaa za digit nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom