S6 edge 32gb original bado kwenye box.
Full n.a. accessories zote.
Fast charger iko ndani.
Warranty 1year.
Kwa mahitaji ya simu za uhakika na kwa uaminifu tuna deliver.
Call:071730913/0625518320...
Hodi wadau wa JF.
Naomba kuulizia nawezaje kumpata mpiga picha (still pictures) na video za shughuli za harusii mjini Dodoma.
Kwani natarajia kuwa na shughuli ya harus mjini Dodoma.
Vile vilee...
http://kilizonetz.com is the Tanzania fastest growing free online and mobile web based classifieds platform that offer a flexible and efficient market place for buyers and sellers to meet.We offer...
Wakuu habari za humu ndani nahitaji kununua gari Hurrier model ya zamani. kidogo ikiwa na matunzo bora.
1.Iwe na utumiaji mzuri wa mafuta.
2. Isiwe imewahi funguliwa injini.
3. Iwe na rangi...
Want to do business online?Register your business and start selling your products or services on Bigmarket.co.tz. Show case your work ,link your project portfolio increase trust and sell more...
Kichwa cha habari kinahusika.
kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za...
Kitanda 5*6 Kinauzwa
Bei yake ni 150,000 fixed.
Kinapatikana Survey karibu Na Chuo cha Ardhi.
Anyone interested contact 0788698640
Updates:Deal done.Bidhaa imeshauzwa.Asanteni wote
Habari,
Kwa yeyote anaehitaji kutumia number ya US kwenye whatsapp tafadhali ni PM. Gharama kidogo utatozwa ambazo ni 10$, gharama hii utalipa kwa mtu aliepo hapa Bongo baada ya kujihakikishia...
Habari wana jukwaa.
Kwa miaka kadhaa nimekuwa mfugaji wa kuku hususani kuku wa kienyeji, chotara na broilers ila kwa miaka ya karibuni nimejikita zaidi kwenye kufuga broilers.
Kwa mara kadhaa...
Kama kawaida, tumedondosha tena mzigo wa kutosha,
Kwa tsh 250,000/= tu jipatie laptop yako kati ya hizi.
Zipo min hp, min dell, min sumsung, min toshiba na min lenovo, pia tuna dell latitude D 620...
Pata GB 5 za halotel za kutumia wiki nzima kwa 4000/= Njoo Pm.
NB: Malipo ni kabla ya huduma, unalipa pesa unatuma namba unaunganishwa sababu ya kufanya hivi ni kuwa niliwahi kuleta offer hii kwa...
salamu wakuu! wapi naweza kupata tv ya flat ambayo ni touch screen, na nyingine yenye uwezo wa kugawanya picha tatu au nne tofauti at the same time niwe naziona, eg nina receiver zaidi ya moja na...
Pata GB 5 za halotel za kutumia wiki nzima kwa 4000/= Njoo Pm.
Nb:
Malipo ni kabla ya huduma,unalipa pesa unatuma namba unaunganishwa sababu ya kufanya hivi ni kuwa niliwahi kuleta offer hii kwa...
Kichwa kinajieleza kwa yeyote atakae kuwa anauza used boxer ila iwe bado na kiwango kwa bei ya one million tuu ,popote pale ulipo nitaifuata, NB ni boxer tuu na si vinginevyo. Piga 0769112316