Habari ,kuna tender ya kusupply nyama ya nguruwe 300kg kila baada ya 2days at price 4500/kg moshi kilimanjaro
Mtu yeyote mwenye uwezo kusupply kiasi icho au atleast 100kg anifwate pm
Asalaam. Tafadhali sana napenda kujua bei ya containers. Nataka kununua kadhaa. Haijalishi ni la ukubwa gani but nahitaji kujua naweza kuyapata wapi kwa bei poa. Shukran.
Habari waungwana,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo Juu,Nauza laptop ikiwa na specification zifuatazo
BRAND: Dell Lattitude E-series, model:E5430
PROCESSOR:INTEL(R)CORE(TM) i3-2350M CPU...
Tunauza uyoga fresh hapa dar es salaam.
Bei:
Kilo 1 ni Tsh 8000
Delivery fee: Tsh 2000
Kwa anayehitaji uyoga fresh awasiliane nasi kupitia +255 656 214 678, 0786517320.
Uncle Nelly farms ni jina linalotumika kuendeshea shughuli za kilimo hapa Tanzania,Tunapatika Mwanza kama Makao Makuu yetu,Ila shughuli zetu za kilimo tunaziendeshea ndani na nje ya Mwanza kwa...
Naanzisha Uzi huu nkiwa na nia ya kutaka kujua na kuelimishwa kutoka kwa wasomi wa JF kuhusu SE PLATFORM ilivyo na utendaji wake.
Je ni ya kweli?
Mwanzilishi wake ni nani?
Na lengo lake n NINI...
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.