Pata GB 5 za halotel kwa 4000

lannister

Member
Jan 4, 2018
13
21
Pata GB 5 za halotel za kutumia wiki nzima kwa 4000/= Njoo Pm.

NB: Malipo ni kabla ya huduma, unalipa pesa unatuma namba unaunganishwa sababu ya kufanya hivi ni kuwa niliwahi kuleta offer hii kwa Vodacom mwaka jana niliishia kutapeliwa nilitukanana na watu humu hadi kupigwa ban la milele.
 
Kuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum
Hakuna kitu kibaya kama kutumia hisia zako kupingana na ukweli,watu tupo kwwnye biashara zetu na kutafuta ridhiki wewe unakuja na hisia zako na kukimbiza watu,Ulaaniwe.
 
Kuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum

Pointi asilimia 100.

Tambua ukiona member amejiunga JF kwa ajili ya suala hilo hilo tu kimbia na ogopa kama ukoma.account haijawahi changaia lolote balo kapost hili tangazo mara 6 katika forums za Jf tofauti..ni TAPELI au anasaka namba za watu.

Huyu ni member humu JF wa siku nyingi kwa nini hatumii ID yake ya zamani bali hii aiyojiunga jana kwa ajili ya mission tu..

Chukua tahadhari
 
Sema whatever you like.
 
Mimi natoa 7GBs bure,nimeamua sasa liwalo na liwe,Elimu hii ngoja wafaidi walipa kodi wangu walionipeleka shule.

Hii ofa ni kwa tigo na Halotel,pm namba yako chapu.
 
Kuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum
Umewapatia kweli kweli
Ndizo mbinu za kitoto za hawa assassins
 
Back
Top Bottom