Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
salamu wakuu! wapi naweza kupata tv ya flat ambayo ni touch screen, na nyingine yenye uwezo wa kugawanya picha tatu au nne tofauti at the same time niwe naziona, eg nina receiver zaidi ya moja na zote niwe naona picha zake kwa pamoja kwenye tv japo najua sauti itatoka kwenye moja ya hizo picha nazoziona, sijui km nimeeleweka wakuu? wapi naweza kupata tv zenye uwezo huo? natanguliza shukrani!