salamu wakuu! wapi naweza kupata tv ya flat ambayo ni touch screen, na nyingine yenye uwezo wa kugawanya picha tatu au nne tofauti at the same time niwe naziona, eg nina receiver zaidi ya moja na...
Pata GB 5 za halotel za kutumia wiki nzima kwa 4000/= Njoo Pm.
Nb:
Malipo ni kabla ya huduma,unalipa pesa unatuma namba unaunganishwa sababu ya kufanya hivi ni kuwa niliwahi kuleta offer hii kwa...
Kichwa kinajieleza kwa yeyote atakae kuwa anauza used boxer ila iwe bado na kiwango kwa bei ya one million tuu ,popote pale ulipo nitaifuata, NB ni boxer tuu na si vinginevyo. Piga 0769112316
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza green house/high tunnels/screen house kutoka chuo kikuu cha SUA , structure zetu ni nzuri na bei nafuu za miti na chuma
8*15(3.4mil), 8*30(6.4mil), 10*30(6.6mil)...
Habari wakuu...!!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Kesho kuna nafasi 3 za lift kutoka Dom to Dar.
Kwa yeyote atakae kua na uhitaji wa safari ya kesho, tafadhali akuje PM.
Angalizo ...
Habari za mida hii wana jamii foroum
naitwa ZAMZAM M DACHI jina la kibiashara ig page ni zababy_dachi_leather ni mjasilia mali wa bidha za ngoz kama walet sandoz za culture na mikanda ya...
Habari zenu waungwana,
Naomba kujulishwa bei ya viti vya wagonjwa. Kiti kimoja kinauzwa kwa pesa ngapi za Tanzania kwa anayejuwa naomba anijulishe. Naomba msiuhamishe huu uzi kwani nahitaji...
Dear Sir / Madam, Good Evening,
PRETTL energy is a German company at more than 35 locations in over 25 countries in fully independent operations.
We are currently looking for a business...
Wakuu mambo vipi
Natafuta wale watu ambao huwa wanafanya kazi za kupulizia dawa ya kukausha magugu shambani
Nina shamba kama la hekari tatu naitaji hiyo huduma
Kama kuna mtu anajua then anipm
Kwa wale wadau wetu wa mikoani...dar shinyanga.morogoro singida...napenda kuwataarifu MZIGO wa samaki(sangara) wanapatikana kwa bei nzuri kabisa ya 5300 kwa kilo. Weka oder yako sasa MZIGO...
Huhitaji kubadili tiles au sinki lako kisa uchafu sugu. Kiboko ya kusafisha na kung'arisha marumaru, pamoja na masinki ya aina yote ni CORE CLEANING. Jipatie bidhaa ya core cleaning yenye ujazo...
Habari za mida hii wana jamii foroum
naitwa ZAMZAM M DACHI jina la kibiashara ig page ni zababy_dachi_leather ni mjasilia mali wa bidha za ngoz kama walet sandoz za culture na mikanda ya kina...
heri ya mwakampya wajasiriamali wenzangu make najua ndo sehemu yetu hii ya kukutana.
kama mada inavyosema hapo, mimi nina shida ya haraka sana na mzani mkubwa; wenye kupima kilo zaidi ya 100 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.