Pinkhijabtz
Member
- Jan 6, 2018
- 5
- 2
*Tupia vazi la Pink,Peach ama Red kuendana na siku yenyewe halafu tukutane DIAMOND JUBILEE HALL tarehe 03 - 02 - 2018,kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku.
kutakuwa na maonyesho ya bidhaa za kijasiriamali,maonyesho ya mavazi,elimu ya mwanamke kujitambua bila kusahau michezo ya wototo.
Kiingilio ni Tshs.5000/= tu.( toka na ziada tuunge mkono bidhaa za kitanzania).
Kwa wajasirimali nafasi yako ya kuongeza wigo wa wateja kibanda cha kuuzia bidhaa zako utakipata kwa Tshs.50,000/=
Kwa mawasiliano zaidi.
0655 445105
Instagram pink_hijabtz.