sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,554
- 868
Uncle Nelly farms ni jina linalotumika kuendeshea shughuli za kilimo hapa Tanzania,Tunapatika Mwanza kama Makao Makuu yetu,Ila shughuli zetu za kilimo tunaziendeshea ndani na nje ya Mwanza kwa sasa tumesha anza kuwekeza katika mikoa ya kigoma - muhogo,Tabora -mpunga,kagera-mahindi,na tumeanza katika mikoa hiyo kutokana na partners wetu kupendelea mikoa hiyo,ila sasa si mikoa hiyo tu Bali ata mikoa mingine kama morogoro,Mbeya,mpanda,Iringa na bagamoyo panapo jitokeza mtu mwenye utayari wa kulima na sisi tunaweza kuingia nae makubaliano ya kulima nae.
Sisi kama uncle Nelly farms, tunafanya kazi NA mtu yeyote yule mwenye utayari wa kulima haijarishi ni mwajiriwa au haja ajiriwa,pili tunawahusisha wataalamu na mashirika ya kilimo katika ulimaji wetu,tatu tunasimamia na kutoa taarifa sahihi kuhusiana na maendeleo ya Shamba tulilo wekeza na mshirika wetu kwa muda muafaka, NNE tunakuwa mstari wa mbele katika utafutaji wa soko wa zao husika Mara tu baada ya mavuno,tano kwa kushirikiana na wadau wa kilimo kutambua zao lipi lilimwe kwa wakati upi.
Tukishakubaliana na mshirika wetu tutaingia mkataba wa kuanza kazi utakao kuwa unamnufaisha kila mmoja.
Kwa mawasiliano
Piga 0769821340,
0719801962
0766195115
gta.masokotz@gmail.com
Sirajimsilanga55@gmail.com.