TUIJUE SE PLATFORM NI NINI?

TUIJUE SE PLATFORM NI NINI?

Ayenda M

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
98
Reaction score
133
Naanzisha Uzi huu nkiwa na nia ya kutaka kujua na kuelimishwa kutoka kwa wasomi wa JF kuhusu SE PLATFORM ilivyo na utendaji wake.
Je ni ya kweli?
Mwanzilishi wake ni nani?
Na lengo lake n NINI?
Maana nimekuwa nkiona matangazo mengi yanayohusu SE PLATFORM lakini sina elimu nayo..,

Nisaidieni wakuu,,,

Ahsante wakuu make nategemea majibu mazuri...!
 
Back
Top Bottom