Kiwanja bei poa kabisa Buswelu Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari za Majukumu ninauza kiwanja bei sawa na hali ya Maisha ya sasa
Kiwanja kipo ilalila center kipo barabara kuu mita 300 kutoka main road ukubwa 30*40
Bei ni milioni tatu tu
Tunaandikishiana chini ya mwanasheria kutoka mahakama kuu
Pia chini ya kamati tendaji ya kijiji kwa usalama zaidi garama ya kamati kuu atalipia mnunuzi na garama ya mwanasheria nitalipia mimi tunafanya cost sharing
Kwa Maelezo zaidi WhatsApp me 0763772636 or u can text normal 0789047874 karibun sana
 
Ilalila ni umbali Gani toka Ilemela?
Miundombinu ya Maji na Umeme IPO Karibu kiasi gani?
 
23b32182cf43a15c55c8fe9f02893f76.jpg
3e5510a3b2f7e1f2733cc79a2b82cd82.jpg

Umeona watu wamejenga na bado wanaendelea kujenga na ukija utaona nyumba ya kushoto kwa jirani maji yapo ni kiasi cha wewe kuvuta tu umeme pia upo karibu
 
Hata hapo Ilalila ukishatoka Kahama kuelekea Ilalila kuna eneo la Jeshi kubwa sana!!
Sawa ila maeneo ya jeshi yanajulikana na taratibu na Sheria zetu huwa haturuhusiwi ata kukatiza maeneo ya jeshi nadhan ilo unajilijua vema pili hili eneo linauzwa kwa utaratibu maaalum kufuata Sheria na taratibu na na kutakuwa na mwanasheria kutoka mahakama kuu na kamati tendaji ya kijiji ili ujiridhishe
 
Karibuni kwa viwanja vya garama nafuu kabisa utapata kiwanja mpaka kwa million moja na nusu wasilina nami kwa WhatsApp 0763772636
 
Naomba description ya Hicho Kiwanja cha 1.5M (Umbali toka mjini Kati,size,miundombinu ya msingi)etc
 
Back
Top Bottom