kiwanda cha maji safi ya chupa

kiwanda cha maji safi ya chupa

kilevo

New Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
3
Reaction score
1
wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa

awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector
 
Sema mtaji wako na unataka kufungulia wapi?
 
wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa

awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector
Sema mtaji wako na unataka kufungulia wapi?
kwenye proposal nadhan utatakiwa kuandika na expected budget nitafata hiyo bado sijachagua ila ni nje ya dar es salaam unaweza pia kushaur
 
Back
Top Bottom