The Complete Python Masterclass: Learn Python From Scratch
Python course for beginners, Learn Python Programming , Python Web Framework Django, Flask, Web scraping and a lot more
Cost Tsh...
The Complete Digital Marketing Course - 12 Courses in 1
Master Digital Marketing & Grow Your Business: SEO, Facebook, YouTube, Social Media Marketing, Google Analytics & More!
19.5 hours...
Habari zenu wanajamvi, kuna mzigo upo Swiss port kwa sasa ulikuja kwa Airmail ya Fedex. Nahitaji agent wa ku clear mzigo huo. Nimeshindwa bei za kuclear na agent wa Fedex. Mzigo ni wa matumizi...
Je, upo Shinyanga Mjini na ungependa kufahamu 'Graphic Design' kwa ufasaha ndani ya muda mfupi?
Kama ndiyo, ni-PM tuzungumze. Nitakufundisha Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign na Lightroom...
Siku zinasonga tunakaribia siku yetu ya PINK HIJAB DAY umejiandaaje chini ni ratiba za uwakilishi wake kwa hapa Tanzania.
Tar - 2/2/2018 - Itafanyikia Serena Hotel ( Dar es salaam) kuanzia saa 2...
Mkoa :Arusha
Number:0753093869
Bati:kigae cha mchanga cheusi
Kampuni:Fortiza
Zipo pc 64.
Bei ya dukani ni 25,000.
Mimi nauza vipya nimebakiza kwa nyumba yangu kwa bei ya Hasara 12000 kwa pc...
Habari wakuu,
-Kiwanja kipo kwa kimara mwisho kwa komba.
-Kimepimwa ila bado kukabidhiwa hati.
-kipo sehemu ya tambalale
-Mita 20 kwa 25
-Bei Milion 12
-Maelewano yapo
-0712595635
Kampun yetu ya super sam ifanyayo safali zake za mwanza dar mwanza bukoba mwanza dodoma mwanza morogoro tunapenda kukuyangazia kuwa saiv tuna mabas mapya kabisa yafanyayo safali zake kama kawaida...
VUNJA BEI: BEI IMESHUKA:Ninauza Smartphones za kisasa, Originals tu kwa bei Poa, mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote zinakuwa mpyaaa na vifaa vyake, pia ni Guaranteed, kwasasa...
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua...
myShop Software ni mfumo maalumu kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa duka la jumla na rejareja, pharmacy, mini supermarket, saloon za kike na kiume, stationary, maduka ya nguo na viatu na maduka...
Hellow wana jf,
Natafuta camera ya kununua ,My favorite ni Canon D 600,D 650 ,D 700 au Camera yeyote mzuri yenye uwezowa kupiga picha na kushoot video, pia iwe na sehemu ya kuchomeka MIC.
Isiwe...
Je wewe ni mwalimu ama mwanafunzi na unatafuta mahali sahihi kupata notes za masomo yote ya Sekondari, tembelea
www.sisinaelimu.com
FORM THREE HISTORY, TOPIC NO 1: ESTABLISHMENT OF COLONIALISM...
Habarini wakuu..
Ni matumaini yangu wote wazima.
Kutokana vyuma kubana na mwenendo wa soko la sasaivi tofauti na wakale ambapo ushindani wa biashara ulikua mdogo sana..mimi na baba yangu tumeona...
Frame ya kisasa inapangishwa, ipo kijitonyama ,barabara ya kajenge karibu na sayansi, kodi ni laki moja na nusu kwa mwezi (150,000/= × 6 ),
Kwa maelezo zaidi piga namba 0714264484
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.