Tecno c8

Tecno c8

Rooney

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
3,781
Reaction score
3,942
Black colour..

Excellent condition.

150k..

Dsm.
 
Attachments

  • c8.png
    c8.png
    36.9 KB · Views: 52
Hizo simu kwa Shape ni nzuri saana
Lkn kwa NETWORK utalia mdomo juu
Kwanza ni double line cha ajabu ukiweka lain zote mbili moja haifanyi kazi kabxaa hata Bar za netwrk hazipandi
Nilienda kwa wakala wa Tecno wakawa wananibadilishia simu mara kwa mara napewa ingine mpya.kwasababu yangu ilikua bado katika Warranty yake lakini haikusaidia kitu
 
Izime then iwashe nione logo inayotokea screenshot au kuipiga picha ikionyesha logo nikiiona iyo pesa ninayo
.
mkuu sijakuelewa ni nn hki..
nkizima na kuwasha iktoa logo napgaje screenshot,km pesa ipo simu pia ipo mkuu,tecno ukwasha km sim zngne zzte itatoa logo yao nothin new
 
.
mkuu sijakuelewa ni nn hki..
nkizima na kuwasha iktoa logo napgaje screenshot,km pesa ipo simu pia ipo mkuu,tecno ukwasha km sim zngne zzte itatoa logo yao nothin new
Nimetoa option mbili screenshot au kupiga picha sio C8 zote sawa
 
Hizo simu kwa Shape ni nzuri saana
Lkn kwa NETWORK utalia mdomo juu
Kwanza ni double line cha ajabu ukiweka lain zote mbili moja haifanyi kazi kabxaa hata Bar za netwrk hazipandi
Nilienda kwa wakala wa Tecno wakawa wananibadilishia simu mara kwa mara napewa ingine mpya.kwasababu yangu ilikua bado katika Warranty yake lakini haikusaidia kitu
Warranty, ukawa unabadilishiwa simu . Duuuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom