Excavators ya kukodishwa inahitajika!!

Excavators ya kukodishwa inahitajika!!

ipo Dar kwa siku laki 2.5 kama upo interested njoo pm
 
Achana na vimeo vya mtaani nenda Mantrac caterpillar wao ni dealer wa CAT na pia wana kitengo cha rentals machine.
Wapo karibu na quality Plaza na TOL
 
Back
Top Bottom