Ukipunguza tamaa dalali utauza hiyo gari, we unajua noah show room bei gani?
Hivi show room zina bei ngapi ??.Ukipunguza tamaa dalali utauza hiyo gari, we unajua noah show room bei gani?
Kweli naweka bei kubwa sana duhUkipunguza tamaa dalali utauza hiyo gari, we unajua noah show room bei gani?
Kama ni zile designe ya panki,ipo kiongozi
Na itakuwepo sana tu.....ipo kiongozi