Kampuni ya kusafirisha mizigo2

Kampuni ya kusafirisha mizigo2

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
380
Wasaalam wanabod, nnaomba kwa mwenye mawaziliano/ namba za simu za kampuni ya usafirishaj mizigo kutoka au kupitia Nyakanazi kwenda Dar es salaam anisaidie. Natanguliza shkrani
 
Si ungetafuta wenye mabasi tu
Kwani Nyakanazi ipo wapi ilitukutajie mabasi yanayo enda huko
 
Nyakanazi ipo maeneo ya kahama ukielekea bukoba. Ndugu ni gunia7 sidhani kama itakua rahisi kwa basi
 
Kama Uko Dar Nenda Mkuki House Nyuma Yake Kuna Kampuni Za Malori Ya Usafirishaji Mizigo
 
Back
Top Bottom