Huduma ya Delivery Dar es salaam

Huduma ya Delivery Dar es salaam

p2p

New Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Habari yenu wana jamvi.
Napenda kuitambulisha kwenu huduma ya "delivery" itolewayo na P2P Delivery Services. Kama umenunua bidhaa iwe ni nguo, mafuta, viatu, vipodozi na kadhalika na hauna muda wa kufika dukani au sehem inapouzwa basi wewe tupigie simu namba 0676 000 030, nasi tutakufikishia mzigo wako kwa gharama nafuu kabisa na haraka. Pia kama unahitaji chakula unaweza kuwasiliana nasi kisha tukafika sehem husika na kuchukua chakula nakukuletea pale ulipo.

Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

Instagram: P2P_Delivery
Facebook: P2P Delivery
WhatsApp: 0676 000 030
Email: oda@p2p.co.tz


Karibuni sana. P2P, [HASHTAG]#tunafikisha[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom