Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Hivi zile mashine za iceing sugar zinauzwa wapi kwa hapa Dar es salaam na wanauzaje? nina shida nazo wakuu na je unga wa iceing sugar mnanunuaga wapi na unauzwaje? Kwa hapa Dar maana leo nimezunguka sana mjini k/koo sijazipata
Kwa anayefahamu naomba anijuze sehemu wanapouza na kama kuna mtu unamfahamu ndo muhusika nipe hata namba yake
Kwa anayefahamu naomba anijuze sehemu wanapouza na kama kuna mtu unamfahamu ndo muhusika nipe hata namba yake