Mkuu ebu kamilisha tangazo lako...Rejea kichwa habari apo juu,naitaji air compressor ambayo used Kwa matumizi ya kujazia upepo!Kwa mwenye anayo anauza njoo pm tuyamalize lakini weka specification zake!
Kama uko dar nenda manyanya kituo cha kuelekea posta Kna jamaa anaziba pancha anayo hapoRejea kichwa habari apo juu,naitaji air compressor ambayo used Kwa matumizi ya kujazia upepo!Kwa mwenye anayo anauza njoo pm tuyamalize lakini weka specification zake!