aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna Live Band mjini wanaoweza kutumbuiza kwenye harusi,sherehe nk.Naamanisha wenye vifaa vyote vya Band.
Pia wenye uzoefu wa kusample miziki ya nje kama soul and Jazz.
Kama wewe ni mmoja wapo tupia bei hapa na contacts zako.
Na maelezo mengine kuhusu kazi yako tutakutafuta.
Ahsanteni.