Jeny faraji
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 164
- 34
Ni bora na inafanya kazi vizuri, Bei 450,000
Nipo Dar es salaam kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0693289203
Nipo Dar es salaam kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0693289203
Yah, yenyewe nimekosea tu, ndio hyo hyo home theater si ata picha unaonaUmemaanisha Home Theatre?
Bora kuondoa auto correct kwa setting ya keyboard yako otherwise utakuja tuma msg ya #$!*#/#* sehemu isiyotegemewa.Yah, yenyewe nimekosea tu, ndio hyo hyo home theater si ata picha unaona
Aya sawa, lakin si mmeelewa jamanBora kuondoa auto correct kwa setting ya keyboard yako otherwise utakuja tuma msg ya #$!*#/#* sehemu isiyotegemewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utan bhana, si hyo picha ya home theaterWeka picha ya hiyo home thread tuione
Panasonic watt 1000Mkuu Home Theater Aina Gani?
Sony, Samsung, Boss, Panasonic
Watts Ngapi?
Ongezea Hayo Kwenye Tangazo Lako
[emoji23] [emoji23] acha utani we Daudi mwenzio anatafuta helawadau thread inauzwa huku.
450,000Sh.ngapi
mbona
Wacha tujewadau thread inauzwa huku.
Unataka kwa shingapmbona
io bei almost ipo sawa na ya Dukani