Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Natafuta fundi mtaalamu wa kupaka rangi bati,nimeezeka kwa bati za kawaida (Simba dumu) nataka mtu anayeweza kupaka/spray rangi kwa compressor na rangi isitoke kamwe.
Kama una ujuzi huo njoo PM kwa maelezo zaidi.
Asante.
Kama una ujuzi huo njoo PM kwa maelezo zaidi.
Asante.