Paka wanaitajika wakazi wa dsm

Paka wanaitajika wakazi wa dsm

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Naitaji domestic cat watatu
Wawe majike
Wawe bikra
Rangi yoyote isipokuwa black
Wawe wanaishi dsm
Bei isizidi 20 thousand
 
Naitaji domestic cat watatu
Wawe majike
Wawe bikra
Rangi yoyote isipokuwa black
Wawe wanaishi dsm
Bei isizidi 20 thousand
Watu kama nyie ndio mnatia doa wakazi wa DSM na wanaume wa Dar sasa sisi ndio tunaweza biashara ya kuuza paka kweli? Nunua hukohuko Tanga
 
Hehehehheee this is more of a joke...
 
Watu kama nyie ndio mnatia doa wakazi wa DSM na wanaume wa Dar sasa sisi ndio tunaweza biashara ya kuuza paka kweli? Nunua hukohuko Tanga
Wanaume wa dar wamekujaje hapa Mkuu? Mimi nataka paka wa dar
 
kaz kweli kweli..... mijike mitatu yote si baada ya miez sita itazaa sana nyumban utajaza mipaka ?
 
e91ea5f9a6a8958afed89e346963b6cd.jpg
buree njoo ubebe
 
Back
Top Bottom