Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,043
- 1,275
Wakuu nahitaji chumba kimoja(Self contained) cha kupanga kilicho standard ,maeneo kiwe kuanzia Airport road-Bwiru mpaka mjini,kiwe maeneo ya kufikika main road kirahisi maana sina private car kama unacho au unamfahamu dalali nishitue natanguliza shukurani!