zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 299
- 171
Wadau nahitaji kujuwa wapi chimbo la simu kwa Bei ya jumla
unataka mpya?brand gani ya simu unayotaka?Wadau nahitaji kujuwa wapi chimbo la simu kwa Bei ya jumla
Kariakoo mkuu kuna hayo machimboWadau nahitaji kujuwa wapi chimbo la simu kwa Bei ya jumla
Mtaa ganKariakoo mkuu kuna hayo machimbo