Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana.
Bei Tsh, 2,400,000
Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja
Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako
Nishati inayotumia...
Habarini Ndugu,
Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko.
Nawasilisha
Wanaforum napenda kuwasilisha na naombeni msaada katika hili, nina ndoto za kununua tractor ila sina kipato kikubwa kiniwezeshacho kumiliki jipya ila used tena yale ambayo yametelekezwa na wale...
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida.
Haitumii betri
Rahis kubeba...
Habari zenu wakuu, hii gari aina ya Toyota 111, imepata ajari. Naitaji kuwauzia wale watu wanaochinja magari au mtu ambaye anaweza tengeneza. Imealibika sehemu ya mbele kama inavyooneka katika...
Mambo VP wakuu kama kichwa kinavyo jieleza Mimi ni mwana harakati kama blogger wa ki Tanzania nimeamua Ku run project yangu.
Mchongo upo hivi nakutafutia wateja kwa kukutangazia biashara yako...
Habari wana Jf, nimechoshwa na kazi yakuosha vyombo kila vinapochafuka hasa baada ya kuvitumia, kwa yeyote anaejua mahali zilipo mashine hizi aniambie.
Tunatengeneza sofa set quality na samani zote kwa ubora uliotukuka tupo ubungo garage na mabibo hostel njoo bei nimaelewano kulingana na unachokihitaji...
Naitwa philip nipo Arusha, Natafuta marafiki walio na nia na wito katika kufanya biasha ili kutimiza ndoto zao.
Wapo watu wengi wanatamani sna kufanya biashara lakini inakua ngumu kutokana na...
Kiwanja chanika bwaja dakika 5 kutoka barabara kuu.
Ukubwa heka 1 na nusu
Hakina udalali
Bei mil.20 tu.
Kiwanja kipo eneo tambarare na zuri unaweza ukakitumia pia kama shamba.
Piga 0629992942
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.