Natafuta mashine ya kuosha vyombo

Natafuta mashine ya kuosha vyombo

Dom boy

Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
99
Reaction score
64
Habari wana Jf, nimechoshwa na kazi yakuosha vyombo kila vinapochafuka hasa baada ya kuvitumia, kwa yeyote anaejua mahali zilipo mashine hizi aniambie.
 
Mpigie huyu dada yupo Masaki anazo 0762485764 au mcheki WhatsApp akutumie picha # 0692890051 .
Nenda instagram thriftstoretz .
 
Niajiri mimi nikuoshee, niko vizuri sana kwenye kusugua masufuria
 
Back
Top Bottom