Nahitaji Tractor used

Nahitaji Tractor used

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
6,048
Reaction score
8,819
Wanaforum napenda kuwasilisha na naombeni msaada katika hili, nina ndoto za kununua tractor ila sina kipato kikubwa kiniwezeshacho kumiliki jipya ila used tena yale ambayo yametelekezwa na wale wamiliki waloyashindwa au wameamua kubadilisha biashara,


Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom