Imepata ajali kwa wale wanaochinja magari karibuni

okwili

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
220
35
Habari zenu wakuu, hii gari aina ya Toyota 111, imepata ajari. Naitaji kuwauzia wale watu wanaochinja magari au mtu ambaye anaweza tengeneza. Imealibika sehemu ya mbele kama inavyooneka katika picha. Kwa mtu anaye itaji tuwasiliane kwa 0712687590. Bei million mbili tu. Mazungumzo yapo.
20180214_074926.jpg
20180214_075022.jpg
 
Duh million mbili gari!?..Anyway unanikumbusha kijiwe fulani cha kamari unapata gari namba C&D kwa hadi million 3 halafu unakaa nalo kwa uoga!..
 
Nimeuza wadau, nimemuuzia mtu wa used spare part. Natumaini atarudisha pesa yake coz akiuza engine tu na gear box. Mbali ukiachana na mazaga zaga mengine na akipima chuma. Ila kuna wadau wanakatisha tamaa kumbe hata bicycle hawamiliki.
 
Vp Huyu mteja ulimpatia Humu Jf au!

Ova
 
Back
Top Bottom