Tuna kutafutia wateja ndani ya dakika kwa bei nafuu

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
578
Mambo VP wakuu kama kichwa kinavyo jieleza Mimi ni mwana harakati kama blogger wa ki Tanzania nimeamua Ku run project yangu.
Mchongo upo hivi nakutafutia wateja kwa kukutangazia biashara yako katika blog zangu maarufu hii itafanya biashara yako ikue
 
Weka namba Ndg.
 
Duh... mi nauza uchawi, pia nina radi za saizi mbalimbali. Nina mamba anayeweza kuibuka bafuni kwa mbaya wako Na kumchana vipandevipande. Nina fisi mwenye ultra high speed, sekunde 6 uko NYC.
 
Biashara gani tena mkuu nime ingilia, basi nijubu ww hayo maswali.
Huu Uzi nime upost mm ila kama ulimuita PM kwa mwaswala mengine tofauti haina shida ila kama linahusu huu Uzi usijaribu Fanya hivyo ndg
 
Back
Top Bottom