jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Feb 24, 2018 #1 Habarini Ndugu, Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko. Nawasilisha
Habarini Ndugu, Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko. Nawasilisha