Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta Nyumba nzur ya kupanga, Iwe maeneo ya Kihonda_kwa Chambo. Iwe na vyumba viwili na sebure Bajeti : 70000/= kwa mwezi Aliye tayari au mwenye kufahamu ilipo anichek PM
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Naitaji shamba la kukodi dsm
0 Reactions
9 Replies
969 Views
Shule ipo Mbeya mjini, km 5 toka city centre. Mazingira tulivu ya kusomea Ada nafuu kabisa Bweni na kutwa Walimu mahsusi kwa masomo Mhula wa awali kuanzia 6/4/2017 Fomu sh 10,000 , popote...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Simu ipo kwenye hali nzuri kabisa [mint condition]. 32GB Rangi ni platinum gold Factory unlocked International version Laki tano nakuachia mzigo Bonus: waweza kukutana nami ana kwa ana.....
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Nauza home theater Aina ya Panasonic kwa bei poa ya 350,000 Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Habar yenu wanajukwaa,Nauza nazi nzuri zilizokomaa kutoka Pangani, Tanga. Nipo Bugurun, nauza kwa jumla. Kuna za 600,700 na 800. Tuwasiliane 0678361222 /0659469663
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Unaweza kukikunja na kukunjua kwa jinsi utakavo Bei 200,000, nipo Dar es salaam! Kwa atakae hitaji nitafute kwa namb >>0766166483
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wapendwa naomba nijue sehemu ambayo naweza pata bajaji mpya yenye bei nzuri lakini pia yenye uwezo mkubwa wa kubeba mizigo na inayodumu! wenye uzoefu na vitu hivi tafadhali sana mnijuze! Nawakilisha!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kichwa cha thread hapo juu chahusika. UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5. SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji. Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Natumaini mnaedelea vizuri. Tafadhali naomba anajua sehemu naweza pata huduma ya body to body massage anielekeze tafadhali
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini eneo la sokomatola jirani na kanisa la Moravian na Njiampaka,barabara ya kwanza. Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:- 0718108188 0685110666 0759544682
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari kwa yule mwenye uhitaji wa kufundishiwa mbwa mkoani mbeya minipo naujuzi wa kufundisha mbwa ukali anapokuja mwizi,utii kwa boss wake,kumwepusha na sumu, pamoja somo lolote unalohitaji mbwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Chumba kiko mbezi mwisho kodi elfu sitini kwa mwezi kulipa kuanzia miezi sita.. Chumba kina choo ndani tiles chini pamoja na gypsum bila kusahau maji na geti kubwa. Masharti ya chumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu! Samahani kwa wale waliopo Mbeya, natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained. Kiwe maeneo ya Isyesye au Nanenane. Kikiwa chumba na sebule utakua poa zaidi. Bless you
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF. Naombeni msaada wa kupata soko la kuuza ndizi mbichi aina mbalimbali pamoja na nazi. Kama unaye ndugu yeyote au mtu yeyote mwenye kujihusisha na biashara za aina hii...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Nilikuwa nahitaji Blackberry Passport au Blackberry Keyone. Atakayekuwa anauza ani PM tuongee biashara. Nipo tayari kusikiliza offer kutoka kwa wauzaji... Asante
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Habari wadau,nauza nazi nzuri zilizokomaa kutoka Pangani, Tanga.. Nauza kwa jumla. Kuna za 600,700 na 800 napatikana buguruni. 0678361222 /0659469663
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Piga simu no;- 0754 597809, Tupo Mbezi beach Tangibovu kwa Komba. Vifaa:- Tv aina zote, mixer, amplifiers, booster, keyboard, subwoofer, machine za kuhesabu hela bank au super market, kuunda vifaa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji...
0 Reactions
7 Replies
47K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…