Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,183
- 4,423
Habari za asubuhi wana JF.
Naombeni msaada wa kupata soko la kuuza ndizi mbichi aina mbalimbali pamoja na nazi. Kama unaye ndugu yeyote au mtu yeyote mwenye kujihusisha na biashara za aina hii naomba uniunganishe nae ili nipate kumuuzia bidhaa hizo kwani ninazo za kutosha zipo shambani bado. TANGA
Unaweza kuni PM